Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mwenyeji wa mkoa wa Singida na kwa sasa ana umri wa miaka 50. Uteuzi wake umetangazwa rasmi bungeni mjini ...
Kauli ya mbunge wa chama tawala CCM, Josephat Gwajima, kuhusu masuala ya utekaji nchini Tanzania na kisha kutoa ushauri wake nini kifanyike ili kuondoa matukio hayo ya kikatili, imeibua mjadala katika ...