Katika barua yake ya kujiuzulu kwenda kwa Rais Donald Trump, Joe Kent anasema haungi mkono vita hiyo ambayo Marekani inashirikiana na Israel dhidi ya Iran akisema "Iran haikuwa tishio lolote la karibu ...
Iran imelaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vyake vya rada katika eneo la Sirik na Kisiwa cha Qeshm, ikiyataja kuwa ni ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoafikiwa ...
Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Iran na Marekani yameanza Ijumaa nchini Oman, katika juhudi za kupunguza mvutano unaohusiana na mpango wa nyuklia wa Tehran na kuzuia kuzuka kwa mgogoro mwingine ...
Marekani inaendelea kutawala teknolojia ya akili mnemba, huku China ikiongeza kasi kwa kutengeneza mifumo ya gharama nafuu na kupanga kujenga uchumi unaotegemea Akili Mnemba katika siku zijazo. Mwaka ...
Baada ya miezi kadhaa ya uchunguzi, wabunge wa Marekani wamewasilisha ripoti kuhusu madai ya mateso ya Wakristo nchini Nigeria katika Ikulu ya White House siku ya Jumatatu, Februari 24. Waraka huo ...