NI Yanga dhidi ya Simba kwenye Fainali ya Kombe la Muungano itakayopigwa Aprili 29, hapa Uwanja wa Amaan Zanzibar na itakuwa mechi kubwa zaidi kwenye kilele cha mashindano hayo.
ZANZIBAR; SIMBA jana iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano uliochezwa ...
KUNA msimamo umetolewa na mabosi wa Yanga kisha akafuata kocha wa timu hiyo na kila mmoja utawahusu Simba wakisema hawana ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results