"Tuliona damu na uharibifu." Haya yalikuwa maelezo ya abiria mmoja kuhusu tukio la ndege ya Shirika la Ndege la Singapore kukumbwa na misukosuko mikali ilipokuwa ikipita kusini mwa Myanmar mwaka 2024.
Mtu mmoja amefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya ndege ya London kuelekea Singapore kukumbwa na msukosuko mkubwa. Ndege hiyo ambayo ilishuka angani ghafla na kuwarusha watu na vitu ndani ya ...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, anakabiliwa na moja ya misukosuko mikubwa zaidi ya uongozi wake tangu chama cha Labour kishinde kwa kishindo uchaguzi wa 2024. Mvutano wa kisiasa umeendelea ...