02.12.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi Trump aonya Israel kutoingilia mambo ya Syria, Urusi yadai imekamata mji muhimu wa Pokrovsk mashariki mwa Ukraine na viongozi wa Rwanda na Kongo kusaini ...
Muhtasari: Wapiga kura visiwani Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo katika uchaguzi mkuu//.Rais Trump akutana na kufanya mazungumzo na waziri mkuu mpya wa Japan Sanae Takaichi // Hamas yakabidhi ...