Nchi washirika wa Marekani zimeonesha kutoridhia kuitikia wito uliotolewa na Rais Donald Trump unaowataka washirika wa NATO wasaidie katika juhudi za kufunguliwa tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Italia ...
Washirika wa Marekani wamesema hawana mipango ya kutuma meli za kivita, kuufungua mlango bahari wa Hormuz, wakilikataa ombi la rais wa Marekani Donald Trump la kuwataka wasaidie kuliweka wazi eneo ...