News
MKUU wa Wilaya Morogoro, Mussa Kilakala, amesema pikipiki zinazotumika kusafirishia abiria katika mkoa huo, zimebainika huibwa na kufanya matukio ya uhalifu mkoani Dar es Salaam na mikoa jirani, akizi ...
WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, amesema tafiti zinazofanyika nchini zisibakie kufungiwa kwenye makabati badala yake zitumike kivitendo katika kusaidia kutatua changamoto zinazoikabili sekta y ...
SERIKALI kupitia Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, imeingilia kati mgogoro wa ardhi unaoendelea kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Ruvu Marwa, wilayani Same. Imetoa agizo la siku 1 ...
Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, has ordered all markets across the country to stop using firewood and charcoal for grilling meat, emphasizing the importance of ...
Mgombea Mwenza wa CHAUMMA Devotha Minja:"Maisha magumu yanasababisha watu kubeti" Habari Kuu. Shauri W'biashara jengo lililoporomoka Kariakoo mbele ya Mahakama ...
Ikiwa zimepita takriban siku 71 tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kifungiwe na Mahakama kufanya shughuli za kisiasa kwa ombi lililopelekwa Mahakamani na baadhi ya wanachama wa chama hi ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameeleza kukerwa na kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa usafirishaji umeme wa msongo wa KV 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma. Kukamilika kwa mra ...
Delta Air Lines and United Airlines have been sued by passengers who claim they were charged extra for a window seat but found themselves sitting next to a blank wall. The lawsuits, filed separately ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wa Mwanza kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Fedha, yenye lengo la kuwaongezea uelewa na kuwakumbusha wajibu wao wa kulipa kodi kwa ...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa hatua ya mapinduzi kuelekea uchumi wa kidijitali, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeunda kamati mbili maalumu kwa ajili ya kuchunguza, kudhibiti na kusimamia matumizi ya s ...
ZIKIWA zimesalia siku saba kabla ya kuanza kwa kampeni rasmi za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu, joto la uchaguzi linazidi kupanda huku makada wa vyama mbalimbali wakimiminika kuchuku ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amewataka wananchi washiriki kikamilifu katika kusimamia utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na ofisi yake, ili yatekelezwe k ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results