ZANZIBAR; LEO ni maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu yalipofanyika Januari 12, 1964 baa da ya kuondolewa utawala wa kisultani ukiongo zwa na Jamshid bin Abdullah na Abeid Amani ...
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya Watanzania kushiriki Uchaguzi Mkuu kesho, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameibua tuhuma nzito dhidi ya Tume ya ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imepokea taarifa ya awali ya Kamati ya Mapitio ya Sheria ya Elimu, Sura ya 353. Akizungumza Dodoma, leo ...
Leo Ross was walking home from school when he was stabbed in the stomach on a riverside path in Hall Green Credit: West Midlands Police A teenager accused of murdering a 12-year-old schoolboy in a ...
Milio ya risasi ilisikika katika mji mkuu huku Embaló na mpinzani wake Fernando Dias wakidai ameshindi. Asha Juma & Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Reuters Tanzania yawamefuta mashtaka dhidi ya watu ...
Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban akionesha moja ya fomu ya matokeo ya uchaguzi wakati Akizungumza na waandishi wa Habari makao makuu ya chama hicho Vuga Zanzibar. Picha ...
WAAMUZI wawili kati ya watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kati ya Chipukizi na New Stone, Is'haka Yona Thomas (mwamuzi wa kati) na Saleh Khalfan Mohamed (mwamuzi msaidizi namba ...
Unguja. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza kupanda kwa bei za mafuta isipokuwa mafuta ya taa pekee. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa leo Novemba 8, 2025 kwa ...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia, baadhi wakiwa katika makazi yao wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi.
Rais Samia akemea vikali vitendo vya uvunjifu wa sheria vilivyotokea wakati wa Uchunguzi Mkuu. Na Waandishi wa BBC Umoja wa mataifa kitengo cha haki za kibinadamu umesema kuwa idadi ya waandamanaji ...
Huduma za intaneti zimekatizwa kwa siku ya tatu leo nchini Tanzania huku ripoti za maandamano zaidi ya kupinga uchaguzi zikiibuka na upinzani kukataa matokeo ya uchaguzi katika kisiwa cha Zanzibar.