Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi ...
Siku moja baada ya Marekani kueleza azma yake ya kutathmini uhusiano wake na Tanzania, mataifa mbalimbali ya Ulaya na Scandinavia, yenye balozi zake nchini, yamelaani mauaji ya raia katika ...
Nigeria. Mahakama nchini Nigeria imemkuta na hatia ya ugaidi na mashtaka mengine kiongozi wa vuguvugu la kujitenga, Nnamdi Kanu kutokana na kesi iliyoendeshwa kwa zaidi ya miaka kumi. Kiongozi huyo ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali shauri la maombi ya kuidharau Mahakama hiyo lililokuwa linawakabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, Katibu Mkuu ...
Dar es Salaam. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima leo Novemba 30, 2025 wamefanya ibada ya kwanza ya Jumapili, ikiwa imepita zaidi ya miezi sita tangu kufutiwa usajili.
Mbeya. Katika jitihada za kudhibiti wanunuzi holela wa zao la Parachichi mashambani ,Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, imekuja na mkakati wa kuanza ujenzi wa mradi wa vituo saba vya ...
Marekani. Kuwa gerezani siyo mwisho wa malengo, mtandao wa TMZ umenasa picha na video za gwiji wa muziki wa hiphop duniani, Sean Combs maarufu P Diddy akifanya shughuli zake za kawaida akiwa gerezani.
Simba kama kawaida imeendeleza moto wake kwenye Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mbeya City kwa mabao 3-0 lakini utamu wa ushindi huo ni kiungo Mohammed Bajaber. Ushindi huo wa nne kwenye mechi nne ...
Dar es Salaam. Uamuzi wa Simba kuachana ghafla na Meneja wake Dimitar Pantev ambaye alikuwa mkuu wa benchi la ufundi, leo Jumanne, Desemba 2, 2025 unatajwa kuchangiwa na sababu tatu. Kupitia taarifa ...
Kocha Mecky Maxime ndiye mrithi rasmi wa Mbeya City ya Mbeya akichukua mikoba ya Malale Hamsini aliyetimuliwa mwanzoni mwa wiki hii. Maxime ambaye amewahi kuzinoa Kagera Sugar na Dodoma Jiji, ataanza ...
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya Umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetwaa ubingwa wa mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa umri huo (AFCON U17) baada ya kuichapa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results